Featured Posts

Monday, August 18, 2014

TUMIA MDA MFUPI SANA KUTAZAMA PICHA ZA NDINGA MPY YA MASANJA MKANDAMIZAJI

pamoja na uvumi kuwa kundi la orijino komedi  kuvunjika na kusambaratika, msanii wa kundi hilo masanja ameendelea kuonyesha maendeleo ya hali ya juu baada ya kununua mkoko mpya kabisaaa, masanja amejizolea umaarufu mwingi kwa staili yake ya uigizaji na uchekeshaji, 



TUMEAMIA HUKU