Kweli kwa hali hii madogo wa sekondari wataendelea kugonga ziro, hii ni kutokana na usimamizi mbovu wa madenti hawa, ukipata nafasi ya kuwafuma siku za michezo ni laana tupu huwezi amini kama kweli ni wanafunzi maana ni full vichupi tu ,
Milioni 392 Zajenga Barabara HEWA Dar es Salaam
-
Meya wa Manispaa ya Kinondoni, Boniface Jacob amebaini matumizi ya Sh392
milioni zilizoandikwa kwenye taarifa ya manispaa hiyo kuwa zimetumika kwa
ajili y...