Featured Posts

Tuesday, August 12, 2014

TAZAMA HIKI KIPENSI CHA AVRIL WA KENYA NI SHIDAAH, RUKSA KUIGA BUT UWE NA MIGUU MIZURI

tazama jinsi avril alivyotokelezea kwenye vaz hili la kibunifu mfano wa pensi flani, hili ni spesho kwa kina dada wenye miguu ya bia kama huyu



TUMEAMIA HUKU