Tazama hawa ni wanfunzi waliamua kuanza kuimba na kucheza siku mojaa baada ya kumaliza mithihani yao ya muhula wa kwanza sasa hawa bado wapo sekondari wanafanya hivi wakifika chuo itakuwaje ebu tuambia wewe mdau unasemaje?????
Milioni 392 Zajenga Barabara HEWA Dar es Salaam
-
Meya wa Manispaa ya Kinondoni, Boniface Jacob amebaini matumizi ya Sh392
milioni zilizoandikwa kwenye taarifa ya manispaa hiyo kuwa zimetumika kwa
ajili y...