Featured Posts

Tuesday, August 19, 2014

MPENZI WANGU HAWEZI KUZAMA CHUMVINI JAMANI NIFANYEJE NA MI NAPENDA??

wasomaji wa darubini naombeni ushauri jamani, mimi ni mwanamke nasoma chuo kimoja maarufu hapa mjini, tatizo nilo nalo ni kwamba nna mpenzi wangu tunapendana sana ila tatizo ni kwama tunapokua katika malovee huwa Hawezi kuniingizia ulimi sehemu za siri, anadai eti kuna magonjwa na zaidi anaona kinyaa, je ni kweli au basi ananifanyia kusudi mmi?? maana nimekkuwa nikisikia wenzangu wakiwasifia wapenzi wao na kudai wanapata raha sana, nafikiria kumsaliti mpenzi wangu lakini naona aibu, jamani nifanyeje eti, siitaji unitukane tafadhali nipe ushauri tu


TUMEAMIA HUKU