Hakika ni mrembo wa haja anayewakilisha vyema wanawake katika tasnia ya muziki wa Bongo Flava….Muziki na urembo huenda pamoja.Nani mwingine anakuvutia uzuri wake kati ya waimbaji wa kike wa Bongo Flava?
Hapa katika tuzo za KTMA 2014 wengi ndiyo waligundua huyu bint ni mrembo.
Milioni 392 Zajenga Barabara HEWA Dar es Salaam
-
Meya wa Manispaa ya Kinondoni, Boniface Jacob amebaini matumizi ya Sh392
milioni zilizoandikwa kwenye taarifa ya manispaa hiyo kuwa zimetumika kwa
ajili y...