Featured Posts

Friday, August 8, 2014

HIKI NDICHO ALICHOJIBU WEMA BAADA YA KULAZIMISHWA KUZAA

Wema Leo Ameamua Kuwafungukia Wala wanaopenda kumforce azae, Wema aliweka Picha ya Kim Kardashian akiwa amembeba Mtoto wake na Kuandika Mbona Huyo Kazaa akiwa Miaka ya 30 sasa kwanini watu wanamforce wakati yeye bado yupo 20′s Jisomee Mwenyewe hapo chini:

wema

TUMEAMIA HUKU