Msanii huyu ambaye amekuwa maarufughafla nigeria na nchi za jirani maarufu kwa jina la tiwa savage amewaacha ho watu katika show yake aliyopiga hivi karibuni kwa mavazi aliyopanda nayo jukwaani kukosa maadili ambapo sehemu za siri zilikua inabaki kidogo zionekane kila alipokua akicheza jukwaani, pata kushuhudia hii leo hapa
Milioni 392 Zajenga Barabara HEWA Dar es Salaam
-
Meya wa Manispaa ya Kinondoni, Boniface Jacob amebaini matumizi ya Sh392
milioni zilizoandikwa kwenye taarifa ya manispaa hiyo kuwa zimetumika kwa
ajili y...