Star wa bongo Movie nchi Wema Sepetu na mwananadada Menina mshiriki wa Bongo star search wameingia kwenye mgogoro wa kutupia maneno kwenye mitandao ya kijamii. juu ya Diamond. Wema anamshtumu Menina kuwa anatoka na mpenzi wake
Milioni 392 Zajenga Barabara HEWA Dar es Salaam
-
Meya wa Manispaa ya Kinondoni, Boniface Jacob amebaini matumizi ya Sh392
milioni zilizoandikwa kwenye taarifa ya manispaa hiyo kuwa zimetumika kwa
ajili y...