Hata hivyo chanzo chetu kilisema kuwa jina lake halisi ni Ruthu lakini amekuwa na majina zaidi ya matano mara hujiita, Zaituni, au Jasmiin, Happynes, Yusra na Jackline yote hayo ni njia ya kuwapoteza maboya watu wanaomfahamu vyema.
Mtoto huyo amekuwa kamaha aliyekubuhu vibaya mno na na sababu kubwa inadaiwa kuwa ni kulelewa kimaadili na kubanwa sana lakini mara baada ya kupata upenyo na kuonja raha za dunia hali imekuwa mbaya unaambiwa amefungulia koki mwanaume yeyote yeye twende na mbaya zaidi nakunya kileo hivyo pombe ikimpanda kidogo tu hulazimisha wanaume mwenyewe wakamshughurikia.
Hata hivyo habari zaidi zilisema kuwa janja kubwa anayotumia msichna huyo ni pamoja na kujifanya mwanafuzni wa chuo cha St John Dodoma hali huku akimwaga ngeri kama hana akili nzuri halio inayompa heshima kuwa msomi kisha wanaume wenye madini ya kutosha hujiingiza mkenge.