Featured Posts

Friday, September 12, 2014

TAZAMA HAPA BAISKELI INAYOSAMBAZA UPENDO WA FIESTA HUKO MKOANI TABORA


Daladala baiskeli ilopambwa kwa mbwembwe za kusambaza upendo imebambwa kona mbalimbali ikila vichwa tu, kinachovutia ni maneno yake yanayohamasisha upendo na hilo ndilo jambo la msingi kwa kila kitu.
Kumbuka hizi ni shamra shamra za SERENGETI FIESTA 2014 SAMBAZA UPENDO. Kilele cha shangwe hizi ni hapo tarehe 14 jumapili hii pal uwanja wa Al'Hassan Mwinyi-Tabora kwa kiingilio cha sh 5,000/= tu kuanzia saa 12 jioni na kuendelea. Usikos kabisa hii si ya kusimuliwa.
Na hawa ni baadhi ya wasanii watakaopanda kutoa burudani; Ney wa Mitego, Stamina, Linah, Recho, Young killer na wengine kibao. Wasanii wa Tabora pia wakutosha.
Kutoka kushoto; Mussa, Muli B na mmiliki wa USIFOKE BAR wakiongea machache leo maeneo ya National Sokoni Clouds Fm ilipokuwa ikiruka live
Jamaa akipata kinywaji makini cha SERNGETI PLATINUM pale timu ya Clouds ilipoingia maeneo ya  National Sokoni leo hii.
Hapa Mussa na timu nzima walipotua maeneo ya Bwalo la polisi Tabora wakiendeleza kusambaza upendo wa Serengeti Fiesta.

Clouds Fm wakiruka live; Mussa akiongea moja kwa moja na msimamizi wa miradi ya polisi Tabora wakiwa katika viwanja vya bwalo la polisi.
Tabasamu la upendo
Dada huyu akihamaki... aaaah... huyu ndio BONGE...? Nilijua boooongeee la mtu kumbe ndo huyuu...? Alisema dada huyo pichani. bong naye akijitunisha kuonesha ti bong la mtu.. KUMBUKA NI KUSAMBAZA UPENDO TU NA SERENGETI FIESTA 2014 NDANI YA TABORA NA KILELE CHAKE NI HAPO TAREHE 14 JUMAPILI HII.
Kila kona ni Fiesta tu... Sheedah..!
Muite Chenge (kulia) akipozi kwa picha na Bonge wa Clouds Fm


Serengeti Platinum ni kinywaji ambacho ukinunua hurudishi chupa (Take away) Picha zote na aloyson.com

TUMEAMIA HUKU