Hawa ni wanafunzi ambao ndio watakuwa viongozi wa Taifa hili kesho....Kupiga picha za uchi, mavazi ya kihasara, starehe kwa wingi wakidai wanakula ujana ndivyo vitu haswa ambavyo wamezoea...
Sasa sijui wazee wetu wakistaafu wataweza kushika ofisi kwa style hii?!Na kama wakishika: Je, ni nini kitajiri maofisini?!
UJANA NI MAJI YA MOTO!TAFAKARI, CHUKUA HATUA ... KIJUA NDIO HIKI, USIPOUANIKA HAKIKA UTAUTWANGA MBICHI!