Tukio hilo la kidhalilishaji na lisilovumilika lilijiri
juzikati kwenye Ufukwe wa Mikadi uliopo
Kigamboni jijini Dar muda mfupi baada ya jamaa
huyo ‘kushuti’ video ya ngoma yake mpya ya
Shemeji.
Kwa mujibu wa chanzo chetu, jamaa huyo
aliwafuata warembo hao waliojitambulisha kwa
majina ya Vicky na Rebecca waliokuwa kwenye
swimming pool (bwawa la kuogelea) ambao
ilisemekana kuwa siyo raia wa Bongo na huko
wanakotokea ni ma-miss.
Ilidaiwa kwamba Mez B ndiye aliyewaomba kupiga
nao picha lakini jamaa huyo ‘akaharibu’ baada ya
kwenda mbele zaidi na kuanza kuwaminya ‘vifuu’
vyao kifuani vilivyoonekana ni vya saa sita
vilivyokuwa wazi bila hata ‘braa’.
Mmoja wa ma-miss hao akiwa mtupu
Ilisemekana kwamba baada ya kupiga picha hizo,
yeye (Mez B) aliwafowadia washikaji zake ndipo
zikazagaa kupitia mtandao wa WhatsApp.
“Hawa wasanii wetu kweli ni majanga. Ona Mez B
alichokifanya na hawa mabinti. Yaani wapo kama
walivyozaliwa lakini yeye yupo freshi na nguo zake.
Kama siyo kudhalilishana ni nini! Amewaaibisha
sana. Lakini na wao hawakuona?” alihoji mrembo
mmoja aliyefowadiwa picha hizo na rafiki yake
kwenye WhatsApp.
Baada ya kuzitia picha hizo kibindoni, gazeti hili
lilimtafuta Mez B kisha kumbana kuhusu tukio hilo
ambapo alijitetea kwa ufupi:“Wale ma-miss
walikuwa wanaogelea vifua wazi kwa muda mrefu.
Wao ndiyo walioniomba kupiga nao picha.”
Kumekuwa na kasumba ya kupiga picha za utupu
kisha kuziachia mtandaoni kwa kudhani kuwa ni
kujiongezea umaarufu lakini ukweli ni kujiondolea
utu na heshima mbele ya jamii.