Featured Posts

Tuesday, September 9, 2014

MPYA KUHUSU AISHA BUI HII HAPA ISOME LEO

Stori: Mwandishi Wetu
WAKATI filamu yake ya Mshale wa Kifo ikiingia mtaani, Aisha Fathi ‘Aisha Bui’ amesema kazi yake hiyo itadhihirisha uwezo alionao kwani hata wazo la kuandika simulizi hiyo ni lake mwenyewe.
Msanii wa Muvi Bongo, ‘Aisha Bui’ akipozi.
“Najua kila mtu ana uwezo wake, lakini unaweza kushindwa kufanya hivyo kwa sababu ya kukosa nafasi, ndiyo maana mimi nimeamua kutumia kampuni yangu kutimiza ndoto zangu, wiki hii Yuneda Entertainment wanasambaza kazi yangu mtaani,”alisema Aisha.
Wasanii wengine walioshiriki filamu hiyo ni Ahmed Olotu ‘Mzee Chilo’, Mzee Korongo, Salim Ahmed ‘Gabo’, Aisha Bui na wasanii wengine kadhaa wakali.

TUMEAMIA HUKU