Featured Posts

Saturday, September 6, 2014

HII NDIYO SIMBA SASA TUNAYOIJUA SISI, YAMSHUSHIA MTU KICHAPO CHA 3-0

Kikosi cha Simba FC kilichoanza mechi ya leo dhidi ya Gor Mahia katika mchezo wa kirafiki leo Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.
Kikosi cha timu ya Gor Mahia mabingwa wa Kenya.
Mshambuliaji wa Simba, Emmanuel Okwi (katikati) akiwania mpira na wachezaji wa Gor Mahia.
Mashabiki wa Simba wakiendelea kuangalia mechi.
SIMBA SC imeonyesha ubora wake wa msimu huu, baada ya kuwafumua mabingwa wa Kenya, Gor Mahia mabao 3-0 katika mchezo wa kirafiki leo Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.
Mabao ya Simba SC yamepatikana kipindi cha pili, wafungaji Paul Kiongera aliyeiadhibu mara mbili timu yake ya zamani na Ramadhani SIngano ‘Messi’ moja.

TUMEAMIA HUKU