Featured Posts

Sunday, August 17, 2014

UTABIRI WA KAKOBE KUHUSU SERIKALI HATIMAYE WATIMIA

Ni mazingaombwe yanayoweza kupatikana
tanzania pekee duniani.
‘ikulu inatoa tamko lao kuwa bunge litaendelea na
katiba lazima ipatikakane bila hata ya kuwepo
umoja wa katiba ya wananchi [ukawa] .
Na wakati huo mwanasheria mkuu wa serikali
anakuja na vituko vingine vya kuueleza umma wa
watanzania kuwa bila [ukawa] katiba mpya haiwezi
kupatikana.na tena anaenda mbali kwa kuwaomba
kwa moyo mweupe na kiunyenyekevu wale
aliowaita matumbili,ati tu kwa sababu wanapigania
maslahi ya umma wa watanzania kuwa ame miss
manjonjo yao ya kupigania ukombozi wa
watanzania! -hapa tukubali tukatae lazima kutakuwa na ombwe
la uongozi nchini.
Na askofu zackari kakobe atashinda kwa unabii wa
maneno yake kuwa c.c.m itasambaratika katika
ramani ya dunia na hatutaiona wala kuisikia tena!

TUMEAMIA HUKU