Featured Posts

Sunday, August 17, 2014

NAPENDA KUPIGA CHABO MPAKA MKE WANGU NAE NAMPIGA CHABO

Wadau Sijui haka Katabia ni Ugonjwa ama
Kawaida, Nimekuwa Mtu wa Kupiga chabo
sana yaani kabla sijaoa nilikuwa nakaa
uswahilini sasa kule mabafu yapo nusu nusu
na mengine ni mabafu ya magunia tu, sasa
nilikuwa nakatabia kakupiga chabo wadada
ama wamama wakiwa wanaoga , kwa sasa
nimeoa nina mke na mtoto mmoja ila kale
katabia ka kupiga chabo bado kananisumbua
mpaka nikuwa namvizia mke wangu akiwa
anaoga au akiwa amekaa kihasara nampiga
chabo bila yeye kujua hapo napata raha na
moyo kusuuzika...Nataka niache haka katabia
nifanyaje?

TUMEAMIA HUKU