Kuwa na mpenzi staa aisee ni hatari sana tazama sasa hii ilikua fiesta mwanza diamond aliambatana na kichuna wake wema sepetu na mwanzo alipanda na kucheza naye jukwaani, baada ya hapo linah nae alipanda ambapo ilibidi aimbe na diambondi kizaizai remix amabyo wameshirikiana sasa diamond akulaza damu alikikamata kiuno cha linah bila kujali kama wema sepetu anaona ule mchezo, sasa watu wakajiuliza ina maana hakupata wivu au alivumilia tu, cheki hizi picha hapa utaelewa nachokiongelea
Milioni 392 Zajenga Barabara HEWA Dar es Salaam
-
Meya wa Manispaa ya Kinondoni, Boniface Jacob amebaini matumizi ya Sh392
milioni zilizoandikwa kwenye taarifa ya manispaa hiyo kuwa zimetumika kwa
ajili y...