Featured Posts

Saturday, August 9, 2014

TAZAMA JINSI SHILOLE ALIVYOWAPAGAWISHA MIDUME UWANJA WA TAIFA JANA

Mwanadada mwigizaji na mwanamuziki Zuwena Mohamed 'Shilole' akicheza kwa kujiachia katika Tamasha la Usiku wa Matumaini 2014 usiku wa kuamkia leo.

Zuwena Mohamed 'Shilole' akiongea na mashabiki wake.
Wacheza show wa msanii wa Shishi Baby wakifanya yao.
Add caption
Add caption

TUMEAMIA HUKU