Featured Posts

Tuesday, August 19, 2014

TAZAMA HAPA LULU AZIDI KUPAGAWA NA JUSTIN BIEBER , AANDIKA TENA HIVI

Leo kupitia ukurasa wake wa INSTAGRAM..LULU ameyasema hayo kuhusu hisia zake juu ya msanii huyo wa Mamtoni.....aliweka picha ya Justin Bieber na kuandika hivi:
"Mapemaaaa...Kabla cku haijawa ngumu..! Haya ni hv wale wa kuandika ndoto za nn cjui...Mara cjui huwezi kumpata na cjui kimepanda kimeshuka...msinijazie comment������Acha niwape ufafanuzi kdgo...ni hv Huyu Bwana swala ya yy kupenda....nimemwachia awapende kina @selenagomez na wengine wote anaotaka kuwapenda...ila swala la yy kupendwa Aniachie Mimi....yan hyo kazi yangu....!!!Sasa Kama ni ndoto Wallah ctaki kuamka,Kama ni ufala...yani ninaukubali kwa asilimia 150%,na mengine mengine yote...sasa Kama nakuchefua,Nina uhakika Zile ndimu za @diamondplatnumz haziwezi kukutosha mana hiki kichefuchefu co cha kuisha,bora utafute mbegu ya Malimao au mbilimbi upande kwako kbsa....Na hili Zoezi ni endelevu...yani kila Jumatatu...Kama Mshahara vile....!!! #MCM...... #Nilikuwepo��"

TUMEAMIA HUKU