Inakuaje msanii mkubwa kma huyu na mwenye mtoto mkubwa tu kupiga picha za namna hii kweli, dah sasa mtoto anajifunza nini kutoka kwake, hawa ndiyo wanaiharibia sanaa yetu na kuwafanya wazazi wawakataze watoto wao wa kike,
Milioni 392 Zajenga Barabara HEWA Dar es Salaam
-
Meya wa Manispaa ya Kinondoni, Boniface Jacob amebaini matumizi ya Sh392
milioni zilizoandikwa kwenye taarifa ya manispaa hiyo kuwa zimetumika kwa
ajili y...