Admin , Mimi ni Msichana na miaka 19
Napenda sana kuwa Maarufu ila sijui pa Kuanzia , Naomba uniweka katika blog nami nijulikana ntakutumia picha zaidi kwenye e-mail...naitwa Fatuma nipo Dar Kijitonyama, na Kama kuna msanii atapenda kunitumia kwenye video yake niko tayar