Featured Posts

Sunday, August 17, 2014

MASKINI JACK CLIFF HIKI CHAMFANYA AJUTE KUBEBA UNGA

Kama wengi Mjuavyo Kuwa Mrembo wa Bongo Jack Cliff alikamatwa China Mji wa Macau kwa Tuhuma za Kubeba Madawa ya Kulevya , Sasa mpya kutoka huko zinasema Kesi ya mrembo huyo imesomwa na Amehukumiwa Kifungo chaMiezi Sita Gerezani.

Chanzo cha habari hiyo hakijatoa maelezo ya kutosha kwanini iwe miezi sita tuu na wakati tunasikiaga kuwa huko adhabu kwa makosa kama hayo ni kali sana na hufikia hata kunyongwa....tutaendelea kufuatilia na kukuletea habari kamili ...

TUMEAMIA HUKU