Featured Posts

Thursday, August 14, 2014

MWEZI MBAYA HUU KWA WEMA SEPETU. SASA ATANGAZA BIFU NA STAA HUYU MWINGINE WA KIKE

Wema Sepetu a . k . a Beautiful Onyinye amekula
kiapo cha kumchukia dada wa hiyari wa
mwandani wake, Nasibu Abdul ‘ Diamond
Platnum’ , Halima Kimwana ambaye wamekuwa
na bifu kwa kipindi kirefu huku sababu zikiwa
hazijulikani . Akipiga stori na paparazi wetu hivi karibuni ,
Wema alisema ugomvi wake na Halima
Kimwana hautaisha na siku zote
atamuonyesha chuki za wazi sababu hana
upendo naye hata kidogo . “ Kusema kweli yule dada namchukia mpaka
basi, simpendi na sitompenda kamwe ,
haitatokea hata siku moja kwenye maisha
yangu nikapatana naye , yaani suala la
kupatana mimi na yeye halipo kabisa, hata
yeye mwenyewe anajua simpendi maana damu
zetu zimekataana , siwezi hata kuonyesha
upendo wa maigizo kwake, ” alisema Wema .

TUMEAMIA HUKU