kama hulikua hujui huu ndio ujinga na uchafu wanaofanya vijana wa siku hiz katika sherehe za bithday zao, na hii imekua fisheni hasa kwa wanavyuo wengi wazazi tujaribu kuwa makini na vijana wetu wa kike na wa kiume
Milioni 392 Zajenga Barabara HEWA Dar es Salaam
-
Meya wa Manispaa ya Kinondoni, Boniface Jacob amebaini matumizi ya Sh392
milioni zilizoandikwa kwenye taarifa ya manispaa hiyo kuwa zimetumika kwa
ajili y...