Featured Posts

Friday, August 15, 2014

HII NDIYU TAHARIFA KAMILI KUHUSU JIDE KUPIGANA CHINI NA GADNER

Mtangazaji Maarufu Gardner G. Habash
Ambae pia ni Mume wa Mwanamuziki Lady
Jay Dee Amezipangua Tuhuma ambazo
zilienea Kwenye Mitandao Week iliyopita
kuwa ndoa yao haipo tena, Gardner Amesema
kuwa watu wanaunganisha unganisha
matukio na kutunga yao ila si kweli kwamba
wameachana...
Si mara ya kwanza kwa mastaa hao kudaiwa
kutibuana na kuyamaliza.
Udaku specially

TUMEAMIA HUKU