hatimaye lile penzi la msanii shilole na nuhu mziwanda ambalo limemake headline kwa mda mfupi uliopita limevunjika rasmi hapo jana , chanzo chetu cha habari ambaye ni rafiki wa karibu na nuhu mziwanda kinadai chanzo ni kutokana na shilole kupigiwa simu na mchepuko huku akiwa ameka na nuhu mziwanda, ambapo shilole alipokea na kumuita baby mtu huyo ambaye alipiga simu jambo ambalo lilimfanya nuhu mziwanda kumind kitendo hicho ndipo tifu likaanza mpaka walipofika kwenye gari ambapo shilole anadaiwa kumjeruhi nuhu kwa meno pamoja na kumrushia mawe huku akimpa matusi ya nguoni.
Milioni 392 Zajenga Barabara HEWA Dar es Salaam
-
Meya wa Manispaa ya Kinondoni, Boniface Jacob amebaini matumizi ya Sh392
milioni zilizoandikwa kwenye taarifa ya manispaa hiyo kuwa zimetumika kwa
ajili y...