Featured Posts

Monday, August 18, 2014

NJEMBA ALIYEJIFANYA DEMU NA KUPEWA UBEKI TATU ANASWA

Mwanaume mmoja huko nchini Uganda
Amekamatwa baada ya Kujifanya ni
Mwanamke ili apate kazi ya House Girl, Zoezi
lake hilo lilifanikiwa na kuweza kupata hiyo
kazi lakini siku zilivyozidi kwenda Boss wake
ambae ni Mama Mwenye Nyumba alishtukia
mchezo na kugundua ni Mwanaume, Baada ya
kugundulika jamaa alichukua kipigo kutoka
kwa Majirani , alipoulizwa kwanini ameamua
kufanya hivyo alijitetea akasema Maisha ni
magumu na kupata kazi kama mwanaume ni
ngumu...

TUMEAMIA HUKU