Featured Posts

Monday, September 15, 2014

UMEZIONA PICHA ZA SERENGETI FIESTA 2014 SHINYANGA HIZI HAPA, MADEMU WAZIDI KUMWELEWA DIMPOZ






Ommy Dimpoz akiimba na mashabiki waliofurika ndani ya Uwanja wa Kambarage.
Nyomi ya watu ikipiga shangwe la kufa mtu uwanjani hapo.
Ommy Dimpoz akicheza na mmoja wa mashabiki wake.
Ommy Dimpoz akiwa amembeba shabiki wake baada mzuka wa shoo kukolea.
Umati wa watu ukifatilia kwa makini burudani.

TUMEAMIA HUKU