Featured Posts

Wednesday, September 17, 2014

SIKO FREE NASHINDWA KULALA NA MPENZI WANGU USIKU MZIMA-NAHOFIA KUJAMBA, USHAURI JAMANI

  
Nina tatizo linanikabili sijui kama na wenzangu mnalo,nimekuwa siko free na nashindwa kujiachia kulala na mpenzi wangu mpaka asubuhi kwasababu naogopa nikijamba usiku atanielewaje,nakosa 
amani kwa kweli kwasababu usiku huwa nikiachia yanatoa sauti sana,kuepusha shari na fedheha nimekuwa nikikwepa kulala naye kitu ambacho mwenzangu bado anaking'ang'ania,nisaidieni hata ushauri namna ya kufanya niwe na amani mwenzenu.

TUMEAMIA HUKU