Featured Posts

Wednesday, September 3, 2014

NOMA JAMAA AACHA GUMZO ICE BUCKET CHALLANGE, TAZAMA NJIA ALIYOTUMIA KUJIMWAGIA MAJI YA BARAFU,

Hii imevunja rekodi na kuwa gumzo mitandao yote ya kijamii, ni kuhusu ile ice bucket challenge ambayo kwasasa ndiyo habari ya mjini ambapo mtu utakiwa kujimwagia ndoo ya maji ya baridi na kuchangia kiasi  flani cha pesa, jamaa mmoja huko ughaibuni ameacha gumzo baada ya kuamua kujimwagia maji kwa kutumia chopa , na kuacha watu wote wakimuongelea mtandaoni, wabongo tunaweza kuiga sana ngoja tuone hii kama nayo italipwa 


TUMEAMIA HUKU