Featured Posts

Tuesday, September 2, 2014

NAONEWA! HATUJANANILII NA MWASITI... ILA NINA MTOTO MMOJA. STORY IKO HAPA SOMA HAPA

KWA mara ya kwanza Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Zuberi Kabwe ameibuka na kuzungumzia uhusiano wake na mtangazaji wa Clouds FM, Loveness Malinzi ‘Diva’ na kufuta uvumi mzito uliokuwa ukizagaa kuwa wawili hao ni wapenzi.
 
Aidha alikanusha vilevile juu ya kuhusishwa kutembea na Mwasiti Zitto alikiri kuwa ni baba wa mtoto mmoja kwa mkewe Jack ingawa hawajafunga ndoa.

TUMEAMIA HUKU