Ikiwa wewe umechelewa
(ulikuwa hujui hili wakati matiti yako
yanaota) basi msaidie mdogo wako au
binti yako anaekuwa hivi sasa , ili asije
kujisikia vibaya pale wanaume
watakapokuwa wakiponda matiti kwa
kuyaita " malapa" .. ..Kwanza kabisa
hakikisha mtindo wa kulala ni kifudifudi
(kulalia tumbo), kwa kufanya hivyo
kunasaidia kwa kiasi kikuwa kufanya
matiti yako pumzike , kwamba
hakutakuwa na kuning ' inia kama
utakuwa umelala chali(lalia mgongo ) au
kiubavu .
Zoezi .. .1
Asimame wima dhidi ya mlango au ukuta
kisha aegeshe matiti yake mahali hapo
kwa nguvu kisha aachie (ajitoe ukutani ),
zoezi hili hufanya matiti yaume sana
lakini wewe kama dada mpe moyo kuwa
avumilie . Afanye hivyo mara 20 kila
asubuhi .
Zoezi .. .. 2
Simama wima huku mikono yako ikiwa
imenyooshwa huku na kule kisha ipeleke
mbele nakukutanisha viganja vyako alafu
irudishe nyumba kadiri uwezavyo (sio
lazima ikutane) ila utahisi maumivu fulani
sehemu ya matiti (misuli yafanya kazi
hapo ).. .. fanya hivyo mara 10 na ongeza
hesabu njinsi unavyokua .
Zoezi .. .3
Ukiwa umesimama wima na mikono yako
imenyooshwa huku na hule inanyue
taratibu kuelekea juu na kutanisha vidole
vyako huko juu kisha rudisha mikono
ilipokuwa (imenyooka huku na kule).