Featured Posts

Sunday, September 14, 2014

MSANII MILEY CYRUS ATUPIA PICHA AKIWA MTUPU BAFUNI, NOMA HANA AIBU HATA KIDOGO

Wiki hii tuliandika habari kuhusu matumizi mabaya ya Instagram yaliyotajwa kuwa juu zaidi kwa watumiaji wa Tanzania.
Lakini vitendo vinavyofanywa na baadhi ya mastaa huko Ughaibuni havikubaliki zaidi na sio mfano wa kuigwa kabisa kwa wapenda maadili. 

Mwimbaji mwenye ‘vitimbwi’ vingi, Miley Cyrus amepost kwenye Instagram picha inayomuonesha akiwa anaoga bafuni huku ameficha sehemu zake kwa alama ya kopa.


TUMEAMIA HUKU