Featured Posts

Wednesday, September 17, 2014

LAANA....HUU NDIO UFUSKA UNAOFANYWA NA JAMAA WA BAIKOKO, KANGA MOKO WANASUBIRI

Hivi hawa jamaa wa baikoko ni wazima kweli? nina wasiwasi na urijali wao maana wanavyokatikiwa na kusuguliwana makalio ya hao wadada wao loo,kama wako vizuri na wanavumilia tu hivyo hivyo kwasababu ni kazi yao basi hao jamaa wanaroho ngumu na 
wanafaa kuigwa na wanaume wengi kwa kupiga kazi hata katika mazingira magumu.

TUMEAMIA HUKU