Featured Posts

Sunday, September 21, 2014

KILA MWANAUME ANAYENILA URODA SIKU YA KWANZA HARUDI TENA...!! USHAURI JAMANI NIFANYEJE...??

Mimi  ni  mwanamke.Naomba msaada wa  mawazo  maana  sijui nina nini mimi...

Umri unanitupa mkono maana nakaribia miaka 35 lakini sijampata aliyewahi kunitangazia ndoa.Cha ajabu kila anayelala na mimi siku ya pili harudii tena na hata nikimpigia simu hapokei


Hapo ndo linapoanzia tatizo na  kunifanya nijisikie vibaya...Saivi  hata mtaani nachagua kwa kupita... 

Kuna mwanaume mmoja huyo ndo aliwahi kunichana live kuwa nina maji mengi na UCHI wangu  ni mkubwa kiasi kwamba ha piz hadi amfikirie mpenzi wake wa zamani...


Jamani naomba msaada nifanyaje mie. Je kuna dawa ya kupunguza haya maji na kuifanya hii MAMBO  iwe  ndogo?

TUMEAMIA HUKU