Featured Posts

Thursday, September 4, 2014

JAMANI HUYU MWANAMKE WA KITANGA NAJUTA....ATANIUA HUYU...!! TAZAMA HAPA

Jamani yamenikuta , nililia Mapenzi wakati sina hadi nilikuwa najiona sina bahati ya kupendwa sasa jamani nimepata msichana wa Kitanga ananipenda kufa, Sijui ni kawaida ama la huyu nilie mpata sasa anapenda sana mchezo yaani kila saa anataka tufanye hata ananikataza kwenda kazani mimi ninafanya biashara sasa huwa naenda kusimamia biashara zangu , Binti huyu nimeanza kaa nae nina week ya Pili sasa toka ahamie kwangu huwezi amani sijatoka ndani ananizuia kwa mitego ya khanga moko....Mwee mpaka naona biashara zangu zinadoda....Kweli ndio Mapenzi haya au ?

TUMEAMIA HUKU