Featured Posts

Wednesday, August 6, 2014

TAZAMA PICHA BONGO MOVIE WAKIJIFUA KWA AJILI YA MECHI YAO YA USIKU WA MATUMAINI

Wasanii wa Bongo Movies wakijifua katika Viwanja vya Leaders jijini Dar jana jioni tayari kwa mpambano wao na Bongo Fleva keshokutwa Ijumaa.
Mwenyekiti wa Bongo Movies, Steve Nyerere (katikati) akionyesha ujuzi wakati wa mazoezi hayo jana.
Msanii Issa Mussa 'Cloud 112' akijifua tayari kwa mtanange huo utakaopigwa wakati wa Tamasha la Usiku wa Matumaini Ijumaa hii ndani ya Uwanja wa Taifa, Dar. 
Mwigizaji Ray Kigosi akivaa viatu tayari kwa mazoezi hayo.
Msanii Jacob Steven 'JB' (alyesimama kulia) akijiandaa kuingia uwanjani.
Mazoezi ya Bongo Movies yakiwa yamepamba moto.
JB akifuatilia mazoezi hayo.

TUMEAMIA HUKU