Featured Posts

Monday, August 18, 2014

SOMA HAPA HABARI NZITO NA YA KUSIKITISHA KUHUSU MTANGAZAI WA ITV NA REDIO ONE MWAULID KITENGE

Maulid Kitenge.
MTANGAZAJI wa michezo wa Radio One Stereo, Maulid Kitenge kupitia akaunti yake ya Twitter hivi punde ametangaza kuondoka rasmi katika radio hiyo baada 
ya kuitumikia kwa miaka 14. Kupitia Twitter, Kitenge ameandika hivi:

TUMEAMIA HUKU