Featured Posts

Wednesday, August 20, 2014

MMMH HIZI BIRTHDAY NI SHIDAAAH, MWANADADA MAARUFU BONGO ACHOIZIKA NA KUWAMWAGIA MIUNO KILA ALIYEKUWEPO BIRTH DAY YAKE

Jina lake kamili ni Funmi Iyanda , mwandishi na mtangazi wa TV kutoka Nigeria...ana host kipidi cha New Dawn with Funmi..Aliwahikutajwa na jarida la forbes kama Forbes 20 Youngest Power Women in Africa, 2011…cheki picha hizi akiselebuka na ma friend..kwenye siku yake ya kuzaliwa!!!!









TUMEAMIA HUKU