habari zilizotufikia hivi punde ni kua msanii wa hip hop bongo afande sele amepatwa na msiba mzito wa mzazi mwenzake mama tunda. kwa mujibu wa habari zinasema mama tunda amefariki Jana. tutaendelea kuwapa habari kadili tunavyozipata. uongozi wa blog hii unampa pole sana afande sele. na mwenyezi mungu ailaze roho ya marehemu maala pema peponi lamina.