Featured Posts

Tuesday, August 5, 2014

MAHABA NIUE: PENZI LA DEE ANDY WA CLOUDS FM NA GODZILLA LAZIDI KUSHAMIRI..JIONEE PICHA ZAO WAKIFANYA YAO BEACH!

 Mtangaziji wa redio Clouds FM, kipindi cha XXL kwenye section ya 255, Doreen aka DEE ENDY kupitia ukurasa wake wa INSTAGRAM ameshare nasi picha hizi akiwa BEACH wakipunga upepo na mpezi wake GODZILLA ambae ni msanii wa bongo Flava….chukua time yako kuzitazama hapa….

TUMEAMIA HUKU