Kuna video ambazo kweli zingekuwa
zinatengenezwa hapa kwetu tzee, ungekuta serikali
imeshazifungia, hii ni kutokana na maadili ya
kwenye video hiyo, ila hii hapa ni zaidi ya maadili,
na kama unahisi ulishawahi kuona video chafu
basi kaa hapa uitizame hii mpya kabisa inaitwa
“Pombe yangu”, ni video ya muziki kutoka huko nchini Kenya. Hii
video imepata hits 12000 ndani ya masaa matatu
tu.
CL