Featured Posts

Saturday, August 16, 2014

JUMLA YA TUZO ANAZO MILIKI MSANII DIAMOND PLATNUMZ TOKA AANZE MZIKI CHEKI HAPA

Msanii Diamond Plutnumz ambaye anafanya vizuri kwenye muziki wa bongo fleva hapa nyumbani lakin amefanikiwa kuvuka mipaka na kufika level za kimataifa kabisa,kupitia mitandao ya kijamii amepost picha ya tuzo anazo miliki toka aanze kazi ya mziki ziko hapa tiririka nazo 

TUMEAMIA HUKU