Mimi
na dada yangu mtoto wa mjomba tumekuwa pamoja na kuzoeana sana, hadi
wakati mwengine hutaniana kupita kiasi, Binti huyo yani binamu anaishi
moshi na mjomba ambako mimi huenda mara kwa mara pindi nikiwa likizo.
Mjomba angu ni mkali sana, na huchunga sana watoto wake wakike, hivyo
binamu yangu huyo ni mtoto wa geti kali ile mbaya hakuna kwenda popote
zaidi ya kwenye bustani tu iliyopo nje hapo nyumbani.
Mjomba
angu huniamini sana hata wakati mwengine husafiri na mke wake na
kuniacha nyumbani hapo na binamu yangu huyo. Siku moja mjomba alipata
safari ya kwenda nairobi na kuniacha mimi binamu na dada wa kazi.Hiyo
siku binti huyo alivaa nguo ambao sijawahi kuona amevaa toka nimjue
alikuwa akizunguka hapo ndani huku akijiachia bila wasi wala kujali mimi
nipo. Kwakweli ni msichana mwenye mvuto yani kama una moyo mwepesi
unaweza kuomba tunda.
Ilifika
wakati mpaka akaanza kuja na chumbani kwangu akiwa amevaa nusu uchi
nakutaka ni mfanyie massage akidai mgongo unamuuma, sikuweza kufanya
hivyo mpaka akaniuliza kwanini unanifanyia hivyo, na mimi nikamuuliza
kwani hujui mi ni nani yako akajibu kwa unyonge sina jinsi naumia
nisaidie hatojua mtu...daah
basi nilimuelewa nikamfanyia massage na nikamuacha aende kwakweli
ulikuwa ni wakati mgumu sana kwangu mpaka pale mjomba alivyorudi na
nikaaga nikaondoka zangu. ila nashukuru sikutegeka.. Japo Niliwahi kusikia Kuwa Eti binamu ni Nyama ya Hamu ..Je Ukweli?
Milioni 392 Zajenga Barabara HEWA Dar es Salaam
-
Meya wa Manispaa ya Kinondoni, Boniface Jacob amebaini matumizi ya Sh392
milioni zilizoandikwa kwenye taarifa ya manispaa hiyo kuwa zimetumika kwa
ajili y...