Tujiangalie sana unapopata na hasira kwa ajili ya mpenzi wako na kuchukua maamuzi magumu sana katika jambo ambalo limeshatendeka na hata ukifanya nini halitaweza kurudi, cha msingi ni kuangalia wapi mwenza wako kakosea na kama imeshindikana ni bora uachane naye kwa kheri kuliko kuaribiana maisha, ingawa maumivu yapo na yanauma ila tujali utu kuliko kufanya unyama kama ulivyomkuta mwanadada Paulina wa pande za Nigeria aka Naija, ambaye alimwagiwa acid na mpenzi wake Mr. Ogba kutokana na wivu wa mapenzi, sasa jamaa alibahatika kukamatwa na kufungwa jela miaka kumi tangu mwaka 2010, Swali je miaka kumi na kumualibu mwenzio vinaendana?
Milioni 392 Zajenga Barabara HEWA Dar es Salaam
-
Meya wa Manispaa ya Kinondoni, Boniface Jacob amebaini matumizi ya Sh392
milioni zilizoandikwa kwenye taarifa ya manispaa hiyo kuwa zimetumika kwa
ajili y...