Featured Posts

Monday, August 11, 2014

HAYA MAVAZI YA WOLPER DAH , AZIDI KUWATIBUA MASHABIKI WAKE

http://photos-e.ak.instagram.com/hphotos-ak-xpa1/927125_783024195051484_1390320470_n.jpg
Natumaini hakuna asiye mfahamu mwigizaji huyu maarufu hapa Tz, mara kwa mara amekuwa na skendo za hapa na pale huku magazeti yakimwandika kila kukicha.. lakini hilo si ambalo sana nataka kulizungumzia hapa.
http://photos-h.ak.instagram.com/hphotos-ak-prn/10518263_675398179220391_100588132_n.jpg
Mara nyingine wolper anataka kick ama anataka aandikwe kwenye vyombo vya habari. Kipindi kidogo kimepita masanii huyu alikubwa na skendo mbaya ya usagaji na ikapelekea vyombo vya habari kukutana naye na kumuhoji juu ya swala hilo. Lakini kinyume na hapo wolper alikataa na kukana kuwa si msagaji.....
http://photos-f.ak.instagram.com/hphotos-ak-xpa1/928063_1540232719532045_205743081_n.jpg
Mara nyingine watu wanaweza kukujudge kwa muonekano wako, sasa Jack amezidi kuvaa mavazi ya kiume ambapo yanapelekea hisia tofauti miongoni mwa mashabiki mbalimbali huko Instagram. sio kwamba tunaingilia maisha yako no ila ni katika hali ya kujenga Status yako katika jamii kama Celebrities.

TUMEAMIA HUKU