Huyu ni mtoto mwingine mwenye umri wa miaka 4 mkazi wa Tandale mtaa wa Muungano ambae siku ya Jumatatu wiki amebakwa na jemba lenye umri wa miaka 42. E-fm radio ambayo imekuwa karibu na jamii kwa 100% Jana jumatano ilikuwa na mahojiano ya moja kwa moja toka eneo la tukio na hata hivyo kituo hicho cha radio kimelaani vikali matukio ya aina hiyo na kulishauri jeshi la polisi nchini kuwachukulia hatua kali za kisheria wale wote wanafanya ukatili huu kwa watoto.
CREDIT: 93.7 EFM RADIO
Milioni 392 Zajenga Barabara HEWA Dar es Salaam
-
Meya wa Manispaa ya Kinondoni, Boniface Jacob amebaini matumizi ya Sh392
milioni zilizoandikwa kwenye taarifa ya manispaa hiyo kuwa zimetumika kwa
ajili y...





