Featured Posts

Monday, August 18, 2014

MASKINI JAMANI TRAFFIC HUYU AGONGWA MAENEO YA BAMAGA, SOMA HAPA KUJUA MKASA HUU

Askari mmoja wa kikosi cha usalama barabara ambaye jina lake halikuweza kufahamika mara moja, amenusurika kufa baada ya kupata ajali akiwa anaendesha pikipiki ya polisi, ambayo ilikosa mwelekeo na kugongana uso kwa uso na gari dogo lenye namba za usajili T 681 CUX eneo la Bamaga Mikocheni jijini Dar es salaam.

TUMEAMIA HUKU