Featured Posts

Monday, August 18, 2014

HAYA HII MPYA TAZAMA HAPA PICHA 15 ZA YALIYOJIRI KWENYE BIRTHDAY PARTY YA DJ WA DIAMOND ROMY JONES

16rj
Kama umewahi kuhudhuria show kadhaa za Diamond Platnumz basi utakuwa umeshasikia jina la Romy Jones ingawa muda mwingine hufupishwa kwa kuitwa Dj RJ,Jumapili ya Aug 17 alikua akisherehekea siku yake ya kuzaliwa.

13rj
Tangu wiki iliyopita ianze Kupitia akaunti za watu mbalimbali walikua wakimtakia kila la kheri katika siku yake hiyo ya kuzaliwa ambapo Aug 17 akaamua kufanya party fupi ya kuwaalika baadhi ya watu wa karibu na kusherehekea pamoja kwenye club iitwayo 327.
Miongoni mwa watu waliohudhuria party hii ni pamoja na Diamond Platnumz ambaye kidogo aliperfoam kwa ajili ya watu waliofika kwenye birthday ya ndugu yake Romy Jones.
Hizi ni baadhi ya picha hizo.
16rj

12rj

11rj

5rj

6rj

7rj

8rj


9rj

TUMEAMIA HUKU